REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBAR | Civil Service Commission
Africa/Dar_es_Salaam (EAT)

Vigezo na Masharti ya Utumiaji

Kwa kutumia mfumo wa Zanajira Portal, unakubaliana na vigezo vifuatavyo vya kisheria:

  • Taarifa zote unazoweka lazima ziwe za kweli na sahihi.
  • Kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo ni kosa la jinai kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu ya Zanzibar na Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015).
  • Mtumiaji anawajibika kutunza nenosiri la akaunti yake kwa siri.
  • Muda rasmi wa kufunga maombi unaongozwa na saa ya seva (Africa/Dar_es_Salaam).